Wilaya za Tanzania 4

Hivi ni vigezo vya Wilaya vilivyoandaliwa kwa mikoa yote kufuatana na sensa 2012

1. Dodoma | 2. Arusha | 3. Kilimanjaro | 4. Tanga | 5. Morogoro | 6. Pwani | 7. Dar-es-salaam | 8. Lindi | 9. Mtwara | 10. Ruvuma | 11. Iringa | 12. Mbeya | 13. Singida | 14. Tabora | 15. Rukwa | 16. Kigoma | 17. Shinyanga | 18. Kagera | 19. Mwanza | 20. Mara | 21. Manyara | 22. Njombe | 23. Katavi | 24. Simiyu | 25. Geita | 26. Kaskazini Unguja | 27. Kusini Unguja | 28. Mjini Magharibi | 29. Kaskazini Pemba | 30. Kusini Pemba

Kwa kutumia vigezo

  • bofya “Hariri chanzo”, kopi sehemu ya wilaya halafu andaa kigezo kilichosahihishwa AU kigezo kipya (kwa wilaya mpya)
  • AMA fungua ukurasa wa kigezo kilichopo tayari “Vigezo:Kata za Wilaya XXXXXXXX” ; weka kopi chini ya matini iliyopo. SASA angalia kama kata fulani ana jina lenye nyongeza (kama mfano “Majengo (Mbeya)|Majengo” ) na usahishe ipasavyo matini mpya. Halafu futa matini ya awali.
  • AU anzisha ukurasa wa kigezo kipya kwa jina “Vigezo:Kata za Wilaya XXXXXXXX” (kufuatana na wilaya unayoshughulia)
  • weka matini katika ukurasa
  • Bofya “Onyesha hakikisho ya mabadiliko”
  • fungua kila link buluu ya kata na hakikisha ya kwamba haielekei kwa makala iliyopo tayari; kama unaikuta, sahihisha jina kwa kuongeza mabano ya jina la wilaya (kama juu mfano wa “Majengo (Mbeya)|Majengo”)
  • Mwishoni hifadhi kazi yako

. . . Wilaya za Tanzania 4 . . .

  • Kama makala ya kata haiko bado, tunga upya. Unaweza kutumia mfano wa makala nyingine.

Wilaya ya Kaskazini-A Unguja | Wilaya ya Kaskazini-B Unguja

Wilaya ya Kaskazini-‘A’ Unguja

Bandamaji | Bwereu | Chaani Kubwa | Chaani Masingini | Chutama | Fukuchani | Gamba | Kandwi | Kibeni | Kidombo | Kidoti | Kigomani | Kigunda | Kijini | Kikobweni | Kilimani Unguja | Kilindi Unguja | Kinyasini | Kisongoni | Kivunge | Matemwe | Mchenza Shauri | Mkokotoni Unguja | Mkwajuni Unguja | Moga | Mto wa Pwani | Muwange | Nungwi | Pale | Pitanazako | Potoa | Pwani Mchangani | Tazari | Tumbatu Gomani | Tumbatu Jongowe | Uvivini

Wilaya ya Kaskazini-‘B’ Unguja

Donge Karange | Donge Kipange | Donge Mbiji | Donge Mchangani | Donge Mtambile | Donge Vijibweni | Fujoni | Kidanzini | Kilombero Unguja | Kinduni | Kiombamvua | Kitope Unguja | Kiwengwa | Mafufuni | Mahonda | Makoba | Mangapwani | Matetema | Mbaleni | Mgambo | Misufini | Mkadini | Mkataleni | Mnyimbi | Muwanda | Njia ya Mtoni | Pangeni | Upenja | Zingwezingwe

. . . Wilaya za Tanzania 4 . . .

This article is issued from web site Wikipedia. The original article may be a bit shortened or modified. Some links may have been modified. The text is licensed under “Creative Commons – Attribution – Sharealike” [1] and some of the text can also be licensed under the terms of the “GNU Free Documentation License” [2]. Additional terms may apply for the media files. By using this site, you agree to our Legal pages . Web links: [1] [2]

. . . Wilaya za Tanzania 4 . . .

Previous post Petro Fourier
Next post Nimefulia