Petro Fourier

Petro Fourier (Mirecourt, Lorraine, leo nchini Ufaransa, 30 Novemba1565Gray, Burgundy, leo nchini Ufaransa, 9 Desemba1640) alikuwa padriMwaugustino aliyerekebisha jumuia za shirika lake na kuanzisha shirika la masista kwa ajili ya malezi ya watoto fukara[1].

Sanamu ya rangi inayomuonyesha.

Papa Klementi XII alimtangaza mwenye heritarehe29 Januari1730, halafu Papa Leo XIII alimtangaza mtakatifu tarehe 27 Mei1897.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe9 Desemba[2].

. . . Petro Fourier . . .

  • Edward de Bazelaire, The life of the Blessed Peter Fourier, priest, reformer of a religious order and founder, London, Charles Dolman, 1850 (translated from the French)

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

. . . Petro Fourier . . .

This article is issued from web site Wikipedia. The original article may be a bit shortened or modified. Some links may have been modified. The text is licensed under “Creative Commons – Attribution – Sharealike” [1] and some of the text can also be licensed under the terms of the “GNU Free Documentation License” [2]. Additional terms may apply for the media files. By using this site, you agree to our Legal pages . Web links: [1] [2]

. . . Petro Fourier . . .

Previous post Walawi (Biblia)
Next post Wilaya za Tanzania 4