Paula Abdul

Paula Abdul (amezaliwa tar. 19 Juni1962) ni mwimbaji na mnenguaji wa Kiamerika. Anafahamika kwa kuongoza unenguaji katika nyimbo kibao za watu wengine na za kwake mwenyewe. Kwa sasa yeye ndiye mwamuzi wa kipindi maarufu cha TV cha Kimarekani maarufu kama American Idol.

Paula Abdul

Abdul mnamo 2011
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Paula Julie Abdul
Amezaliwa 19 Juni1962 (1962-06-19) (umri 59)
Asili yake San Fernando, California, US
Kazi yake Mwimbaji, mkoreografa, dancer, mtangazaji wa televisheni, mwigizaji
Miaka ya kazi 1986–hadi leo
Studio Virgin Records (1988-1997)
Mercury Records(1997)[1]
Concord (2008)
Filament (2009-present)
Tovuti Official Site of Paula Abdul

. . . Paula Abdul . . .

Mwaka Maelezo ya Albamu Chati Matunukio
(mauzo)
US US R&B UK AUS NOR SWE
1988 Forever Your Girl

1 4 3 1 17 6

 • US: 7× Platinum[2]
 • UK: Platinum[3]
 • CAN: 7× Platinum[4]
1991 Spellbound

 • Imetolewa: 14 Mei 1991
 • Studio: Virgin Records
1 5 4 3 6

 • US: 3× Platinum[2]
 • UK: Gold[5]
 • CAN: 2× Platinum[4]
1995 Head Over Heels

 • Imetolewa: 13 Juni 1995
 • Studio: Virgin Records
18 31 61 18

 • US: Gold[6]
“—” albamu imefeli kwenye chati ama haijatolewa kabisa
Mwaka Maelezo ya Albamu Chati Matunukio
(mauzo)
US US R&B UK AUS SWE
1990 Shut Up and Dance

 • Imetolewa: 8 Mei 1990
 • Studio: Virgin Records
7 65 40 16 24

 • US: Platinum[7]
 • CAN: Platinum[8]
2000 Greatest Hits

 • Imetolewa: 26 Septemba 2000
 • Studio: Virgin Records
2007 Greatest Hits: Straight Up!

 • Imetolewa: 8 Mei 2007
 • Studio: Virgin/EMI
86
“—” albamu imefeli kwenye chati ama haijatolewa kabisaa

. . . Paula Abdul . . .

This article is issued from web site Wikipedia. The original article may be a bit shortened or modified. Some links may have been modified. The text is licensed under “Creative Commons – Attribution – Sharealike” [1] and some of the text can also be licensed under the terms of the “GNU Free Documentation License” [2]. Additional terms may apply for the media files. By using this site, you agree to our Legal pages . Web links: [1] [2]

. . . Paula Abdul . . .

Previous post Mary Anne Fitzgerald
Next post Wahumiliati