
Orodha ya milima ya Marekani
Hii orodha ya milima ya Marekani inatajwa kwa kufuata alfabeti baadhi yake tu.
A
B
- Mlima Baker – Cascades, Washington
- Mlima Baxter – California
- Mlima Big Bear – California
- Mlima Bona (futi 16,550) – Milima Saint Elias , Alaska
- Mlima Borah – Idaho
- Mlima Bridge – Red Rock Canyon National Conservation Area, Nevada
- Mlima Blue Job – New Hampshire
- Blue Knob – Pennsylvania
- Mlima Bristol – New York
C
- Camel Hump – Milima Green, Vermont
- Mlima Cannon – Milima White, New Hampshire
- Cathedral Peak – California
- Mlima Charleston – Milima Spring, Nevada
- Mlima Cheaha – chini ya Milima Apalachi, Alabama
- Mlima Churchill (futi 15,638) – Milima Saint Elias, Alaska
- Mlima Columbia – Colorado
D
- Mlima Danish – California
- Mlima Denny – Washington
- Devils Thumb – Alaska
- Devils Tower – Wyoming
- Mlima Diablo – California
- Mlima Delano – (futi 12,163), Milima Tushar, Utah
E
- Mlima Elbert (m 4,401) – Sawatch Range, Colorado, wa juu katika Rocky Mountains
F
- Mlima Fairweather (m 4,663; futi 15,300) – Fairweather Range, Glacier Bay National Park, Alaska
- Mlima Foraker – Alaska
G
- Gannett Peak – Wyoming
- Glacier Peak – Cascades, Washington
- Mlima Glas, California (m 3,395; futi 11,138) – California
- Grand Teton – Wyoming
- Mlima Greylock – Massachusetts
H
- Haleakala (m 3,050) volkeno iliyolala – Hawaii , Oceania
- Half Dome – California
- Mlima Hood – Cascades, Oregon
- Mlima Horsetooth – Colorado
- Milima Huron – Michigan
I
J
K
- Mlima Katahdin (mita 1,605) – mwisho wa kaskazini wa Appalachian Trail, Maine
- Kings Peak (futi 13,528) – Utah40°46′43″N110°22′28″W
wa 7 wa juu katika Marekani srcArchived 4 Juni 2008 at the Wayback Machine.
L
- Mlima Lafayette – Milima White, New Hampshire
- Mlima Lassen – Cascades, California
- Mlima Lemmon (m 2,791) – Milima Santa Catalina, Arizona
- Lone Peak (futi 11,253) – Wasatch Range, Utah40°31′36″N111°45′19″W
M
- Mlima Mammoth – California
- Mlima Mansfield – Milima Green, Vermont
- Mlima Marathon – Milima Kenai, Alaska
- Maroon Peak – Colorado
- Mlima Marcus Baker – Chugach Range, Alaska
- Mlima Marcy (futi 5,344) – Milima Adirondack. kilele cha juu cha New York State
- Mlima Massive – Sawatch Range, Colorado
- Mauna Kea (m 4,205) volkeno iliyolala – Hawaii , Oceania – mlima mrefu katika dunia kipimo kikichukuliwa kutoka ndani ya bahari; kwa jumla urefu wake ni m 10,203 (futi 33,476)
- Mauna Loa (m 4,170) – volkeno hai – Hawaii , Oceania
- Mlima McKinley au Denali – Alaska (m 6194; futi 20,320) mlima mkubwa zaidi Amerika ya Kaskazini63°04′10″N151°00′13″W
- Mlima Mitchell (mita 2,037; futi 6,684) – North Carolina, wa juu katika milima Apalachi
- Mlima Monadnock – New Hampshire
N
O
- Mlima Olympus – Washington
- Mlima Olympus (futi 9,026) – Wasatch Range, Utah
P
Q
R
- Mlima Rainier (4.392 m) – Cascades, Washington
S
- Mlima Saint Elias (m 5,489) – wa pili katika Amerika ya Kaskazini
- San Jacinto Peak (m 3,293) – California
- Mlima Sanford (futi 16,237) – Milima Saint Elias, Alaska
- Mlima Shasta – California
- Mlima Shuksan (m 2,783) – Cascades, Washington
- Mlima St Helens – volkeno hai katika Cascades, Washington
- Mlima Si (m 1,270) – Cascades, Washington, mfupi lakini maarufu
- Mlima Snoqualmie – Washington
- Mlima Stuart – Cascades, Washington
- Mlima Sunapee – New Hampshire
T
- Mlima Timpanogos (futi 11,750) – Wasatch Range, Utah
- Three Sisters – Oregon
- Mlima Torbert (futi 11.413) – Milima Tordrillo, Alaska
U
V
W
- Mlima Washington (m 1,917; futi 6,288) – New Hampshire, kilele cha juu kabisa katika Marekani kaskazini mashariki
- Mlima Werner – Colorado – eneo la Steamboat Ski Resort
- Wheeler Peak – kilele cha pili Nevada
- Mlima Whitney (m 4,421; futi 14,497.2) – Sierra Nevada, mlima wa juu kabisa katika Marekani isipokuwa Alaska
X
Y
Z
. . . Orodha ya milima ya Marekani . . .
. . . Orodha ya milima ya Marekani . . .
This article is issued from web site Wikipedia. The original article may be a bit shortened or modified. Some links may have been modified. The text is licensed under “Creative Commons – Attribution – Sharealike” [1] and some of the text can also be licensed under the terms of the “GNU Free Documentation License” [2]. Additional terms may apply for the media files. By using this site, you agree to our Legal pages . Web links: [1] [2]