
The Bodyguard
The Bodyguard: Original Soundtrack Album ni jina la kibwagizo cha filamu chenye jina sawa na hili, iliyotolewa mnamo 17 Novemba 1992. Kutokana na albamu hii, Whitney alikuwa mwanamuziki wa kwanza kuwahi kuuza zaidi ya nakala milioni moja kwenye wiki ya kwanza. Wimbo huu baadaye ilishinda tuzo la Grammy Award for Album of the Year na Recording Industry Association of America ilitunikiwa platinamu 17 mnamo 1 Novemba 1999.[1] Hadi leo, imeuza zaidi ya nakala milioni 44 kote duniani.[2]
. . . The Bodyguard . . .
Albamu hii inajulikana kwa wimbo “I Will Always Love You”. Wimbo huu ulichezwa zana kwenye redio. Single hii ilibaki kuwa namba 1 kwenye chati ya Billboard Hot 100 kwa muda ya wiki 14.[3]
- “I Will Always Love You” – Whitney Houston (Parton)
- “I Have Nothing” – Whitney Houston (Foster/Thompson-Jenner)
- “I’m Every Woman” – Whitney Houston (Ashford/Simpson)
- “Run to You” – Whitney Houston (Friedman/Rich)
- “Queen of the Night” – Whitney Houston (Babyface/Houston/Reid/Simmons)
- “Jesus Loves Me” – Whitney Houston (Caldwell/Winans)
- “Even If My Heart Would Break” – Kenny G featuring Aaron Neville (Golde/Gurvitz)
- “Someday (I’m Coming Back)” – Lisa Stansfield (Devaney/Morris / Stansfield)
- “It’s Gonna Be A Lovely Day” – The S.O.U.L. S.Y.S.T.E.M. (Clivillés/Cole/Never/Scarborough/Visage/Withers)
- “(What’s So Funny ‘Bout) Peace, Love, and Understanding” – Curtis Stigers (Lowe)
- “Theme from The Bodyguard” – Alan Silvestri (Silvestri)
- “Trust in Me” – Joe Cocker featuring Sass Jordan (Beghe/Midnight/Swersky)
- Singles
. . . The Bodyguard . . .
This article is issued from web site Wikipedia. The original article may be a bit shortened or modified. Some links may have been modified. The text is licensed under “Creative Commons – Attribution – Sharealike” [1] and some of the text can also be licensed under the terms of the “GNU Free Documentation License” [2]. Additional terms may apply for the media files. By using this site, you agree to our Legal pages . Web links: [1] [2]