
Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi
Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ilitolewa kuanzia 1922 lakini kulikuwa na tuzo maalumu kabla ya hapo.
. . . Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi . . .
Kupitia kwa hiba kutoka “Shirika la Ushairi” (Kiing.The Poetry Society), wasia wa Pulitzer uliweza kutoa tuzo maalumu kwa ushairi miaka ya 1918 na 1919. Waliotuzwa ni wafuatao:
- 1918, Sara Teasdale
- 1919, Carl Sandburg
- 1919, Margaret Widdemer
Katika miaka 92 hadi 2013, Tuzo ya Ushairi ilitolewa mara 92; kulikuwa na washindi wawili mwaka wa 2008, na hakuwa na tuzo 1946. Kulikuwa na mashairi mbalimbali waliotuzwa zaidi ya mara moja tu:
- Edwin Arlington Robinson, 1922, 1925, 1928
- Robert Frost, 1924, 1931, 1937, 1943
- Stephen Vincent Benét, 1929, 1944
- Archibald MacLeish, 1933, 1953
- Robert Lowell, 1947, 1974
- Richard Wilbur, 1957, 1989
- Robert Penn Warren, 1958, 1979
- William S. Merwin, 1971, 2009
- 1922: Collected Poems kuandikwa na Edwin Arlington Robinson
- 1923: The Ballad of the Harp-Weaver: A Few Figs from Thistles: Eight Sonnets in American Poetry, 1922. A Miscellany kuandikwa na Edna St. Vincent Millay
- 1924: New Hampshire: A Poem with Notes and Grace Notes kuandikwa na Robert Frost
- 1925: The Man Who Died Twice kuandikwa na Edwin Arlington Robinson
- 1926: What’s O’Clock kuandikwa na Amy Lowell
- 1927: Fiddler’s Farewell kuandikwa na Leonora Speyer
- 1928: Tristram kuandikwa na Edwin Arlington Robinson
- 1929: John Brown’s Body kuandikwa na Stephen Vincent Benét
. . . Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi . . .
This article is issued from web site Wikipedia. The original article may be a bit shortened or modified. Some links may have been modified. The text is licensed under “Creative Commons – Attribution – Sharealike” [1] and some of the text can also be licensed under the terms of the “GNU Free Documentation License” [2]. Additional terms may apply for the media files. By using this site, you agree to our Legal pages . Web links: [1] [2]