Merkuri wa Kaisarea

article - Merkuri wa Kaisarea

Merkuri wa Kaisarea (jina la awali: Filopatri; Kapadokia au Roma, 224Kaisarea wa Kapadokia, katika Uturuki ya leo, 250) alikuwa jenerali wa jeshi la Dola la Roma hadi alipojitambulisha kwa kaisari kuwa Mkristo. Hapo aliteswa na hatimaye kukatwa kichwa kutokana na imani yake[1][2][3]

Mt. Merkuri, mozaiki katika monasteri ya Hosios Lukas.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe25 Novemba[4].

. . . Merkuri wa Kaisarea . . .

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

. . . Merkuri wa Kaisarea . . .

This article is issued from web site Wikipedia. The original article may be a bit shortened or modified. Some links may have been modified. The text is licensed under “Creative Commons – Attribution – Sharealike” [1] and some of the text can also be licensed under the terms of the “GNU Free Documentation License” [2]. Additional terms may apply for the media files. By using this site, you agree to our Legal pages . Web links: [1] [2]

. . . Merkuri wa Kaisarea . . .

Previous post Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi
Next post Orodha ya miji ya Tanzania