Lordi ni bendi ya muziki wa hard rock/heavy metal kutoka mjini Helsinki, Finland. Wazo la kubuni jina la Lordi lilitolewa mnamo mwaka wa 1992, ingawa bendi ilikuwa haijaanzishwa hadi ilipokuja kuanzishwa rasmi mnamo mwaka wa 1996 na Tomi Putaansuu (maarufu kama “Mr. Lordi”)[1] wa Rovaniemi, Finland.
Lordi |
|
Maelezo ya awali |
Asili yake |
Helsinki, Finland |
Aina ya muziki |
Hard rock / heavy metal,power metal, shock rock, horror rock |
Miaka ya kazi |
1991 – mpaka sasa |
Studio |
Sony BMG, GUN, The End, Drakkar Records |
Ame/Wameshirikiana na |
Dolchamar, Punaiset Messiaat, Arthemesia, Deathlike Silence, Wanda Whips Wall Street, Double Beat Und Bodys |
Tovuti |
www.lordi.fi |
Wanachama wa sasa |
Mr. Lordi Amen Hiisi Mana Hella |
Wanachama wa zamani |
G-Stealer Magnum Kalma Enary Kita Otus Awa OX |
Wanachama wa Lordi wanaeleweka kwa jinsi wanavyojieleza kwa mavazi ya mijitu ya kutisha wakati wanapofanya maonyesho yao au hata video zao. Hivyo Lordi hujulikana pia kwa jina la “The Finnish Monsters” na “The Monsters of Finland”.
Mwanzoni mwa miaka ya 1990, Putaansuu alikuwa akicheza katika bendi ndogo ya mjini Rovaniemi. Aliondoka bendini kwa kufuatia wanachama wengine wa katika bendi hawakubaliana na uanzishaji wa muziki wakiwa ukumbini hasa kwa kuingiliana na vipengele vya staili ya bendi ya KISS. Putaansuu akaanza kutengeneza muziki wa demo chini ya jina la Lordi kunako mwaka wa 1991 na kuendelea kufanya hivyo kwa miaka kadhaa ya usoni. Mnamo mwaka wa 1995 ametengeneza wimbo wa “Inferno” na muziki wa video kwa ajili mradi fulani wa shule. Video haikutolewa kwa kufuatia Putaansuu hakuvaa kinyago kwenye video hiyo ndiyo sababu iliyopelekea video isitolewe.
Baada ya “Inferno”, Putaansuu akaota. Katika ndoto hiyo, ilimwonyesha yeye akiwa akiwa kwenye onyesho na kuna kiunzi cha mifupa kinacheza juu ya jukwaa. Alipoamka, akaelewa kwamba Lordi inapaswa kuwa bendi ya muziki wa Heavy metal iliojawa na vizuka. Lile jitu la kutisha alioiona kwenye ndoto hatimaye akaja kuwa mpiga gita wao Kalma.
Mwaka |
Albamu |
Nafasi Iliyoshika |
UK |
UK Rock |
FIN |
GER |
AUT |
BEL |
DEN |
EST |
FRA |
GRE |
NOR |
POL |
SWE |
SWI |
EU |
US Ind |
US Heat |
2002 |
Get Heavy
- Albamu 1
- Imetolewa: 27 Januari 2002
- Studio: BMG Finland, Drakkar Records
|
– |
– |
3 |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
2004 |
The Monsterican Dream
- Albamu 2
- Imetolewa: 1 Juni 2004
- Studio: BMG Finland, Drakkar Records
|
– |
– |
4 |
70 |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
2006 |
The Arockalypse
- Albamu 3
- Imetolewa: 10 Machi 2006
- Studio: Sony BMG, Drakkar, The End
|
100 |
– |
1 |
7 |
11 |
13 |
16 |
4 |
98 |
1 |
21 |
29 |
1 |
8 |
8 |
– |
– |
2008 |
Deadache
- Albamu 4
- Imetolewa: 24 Oktoba 2008
- Studio: Sony BMG, GUN, The End
|
– |
38 |
5 |
33 |
51 |
– |
– |
– |
– |
– |
39 |
35 |
42 |
73 |
71 |
37 |
13 |
2010 |
Babez For Breakfast
- Albamu 5
- Imetolewa: 15 Septemba 2010
- Studio: Sony BMG
|
– |
– |
9 |
66 |
71 |
– |
– |
– |
113 |
26 |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
2013 |
To Beast or Not To Beast
- Albamu 6
- Imetolewa: 1 Marzo 2013
- Studio: BMG Finland, AFM Records
|
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
– |
2014 |
Scare Force One |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
2016 |
Monstereophonic – Theaterror vs. Demonarchy |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
2018 |
Sexorcism |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
2020 |
Killection |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
2021 |
Lordiversity |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
This article is issued from web site
Wikipedia. The original article may be a bit shortened or modified. Some links may have been modified. The text is licensed under “Creative Commons – Attribution – Sharealike” [1] and some of the text can also be licensed under the terms of the “GNU Free Documentation License” [2]. Additional terms may apply for the media files. By using this site, you agree to our Legal pages . Web links:
[1] [2]