Forgot About Dre

Forgot About Dre” ni single mshindi wa Grammy Award-kutoka katika albamu ya Dr. Dre2001, akimshirikisha Eminem, imefikia nafasi ya #25 kwenye chati za Billboard Hot 100, nafasi ya #14 nchini Marekani kwenye chati za R&B, na nafasi ya #7 kwenye chati za UK Singles Chart. Kama ilivyo single kiongozi ya albamu “Still D.R.E.,” wimbo hutubia sana ukosoaji wa Dre dhidi ya wajinga-wajinga bila hata kushtuka, kama jinsi Dre alivyotangaza kurudi kwenye uwanja wa hip-hop na kuwakumbusha wasikilizaji juu ya ujio wake wa ajabu katika gemu hilo.

“Forgot About Dre”
Single ya Dr. Dre featuring Eminem
kutoka katika albamu ya 2001
B-side “Bad Guys Always Die (feat Eminem)”
Imetolewa 2000
Muundo CD Single 12″ Vinyl
Imerekodiwa 1999
Aina Hip hop
Urefu 3:42
Studio Aftermath/Interscope
Mtunzi André Young
Melvin Bradford
Marshall Mathers
Mtayarishaji Dr. Dre
Mel-Man
Mwenendo wa singles za Dr. Dre
Still D.R.E.
(1999)
Forgot About Dre
(2000)
The Next Episode
(2000)
Mwenendo wa singles za Eminem
Dead Wrong
(1999)
Forgot About Dre
(2000)
Bitch Please II
(2000)

. . . Forgot About Dre . . .

Katika muziki wa video, mistari kamili kadhaa ya vesi ya Eminem imebadilishwa na kipande cha Eminem akijibu maswali ya mwandishi wa habari Jane Yamamoto kuhusu moto ambao yeye na Dre wameuazisha. Video imeshinda tuzo ya MTV Video Music Award for Best Rap Video mnamo 2000. Wimbo huhesabiwa kama majibu ya upondaji uliofanywa na wasanii wa Death Row katika Suge Knight Represents: Chronic 2000, kompilesheni iliyotolewa na Suge Knight ambayo ilichukua jina halisi la albamu ya Dre.

Mwishoni mwa muziki wa video wa “Forgot About Dre” kuna kipande kifupi cha Hittman akipasuka mstari wa kwanza wa wimbo wa “Last Dayz”.

Kwa mujibu wa mahoajiano na Behind The Boards katika Shade 45, Eminem katika Sirius Satellite Radio, Eminem ametunga wimbo na Snoop kwa kufikiria kwamba Dogg “Awali nilipanga kuona iwapo Snoop angepiga kiitikio.. Nilifikiria kwamba ingekuwa bomba sana kama nilivyopenda.. Nilikuwa na mstari wa kati, Snoop akafanya kiitikio..”.[1]

Mstari wa “Who you think brought you the OGs, Eazy-Es, Ice Cubes, and The D.O.C.s, the Snoop D-O-double-Gs, na the group that said ‘Motherfuck the police‘?” mistari ambayo ni muhimu kwa Dre katika ulimwengu huu wa rap, mandhari ya wimbo.

Mstari wa Eminem sio ya kawaida – ametumia mtindo wake uleule wa “Slim Shady”, yanamwelezea kwamba yeye mtembea kwa miguu tu, choka mbaya: (“One day I was walkin’ by with a Walkman on/When I caught a guy givin’ me an awkward eye/So I strangled him off in the parking lot with his Karl Kani”) na kutishia kumwua mwanamke (“Fuck you, too, bitch, call the cops/I’ma kill you and them loud-ass motherfuckin’ barkin’ dogs”), na vilevile kubwabwaja namna gani ya kujitoa matatizoni, kwa kukorofishana na sheria (“And when the cops came through/Me and Dre stood next to a burnt down house with a can full of gas and handful of matches/And still weren’t found out right here”)

. . . Forgot About Dre . . .

This article is issued from web site Wikipedia. The original article may be a bit shortened or modified. Some links may have been modified. The text is licensed under “Creative Commons – Attribution – Sharealike” [1] and some of the text can also be licensed under the terms of the “GNU Free Documentation License” [2]. Additional terms may apply for the media files. By using this site, you agree to our Legal pages . Web links: [1] [2]

. . . Forgot About Dre . . .

Previous post Adela Breton
Next post Lugha za Khoisan